jeroen dickson
Member
- Jul 19, 2016
- 6
- 2
Habari wandugu, naomba niulize kama kutakua na application za vyuo (diploma) kwa tuliokosa cutting point ya 4.0 na inaweza ikawa lini?
tunaomba kujua wakuu kuhusu izo higher diploma zinapatikana vyuo gani kwa sis wenye cutt off pungufuhabari wandugu,naomba niulize kama kutakua na application za vyuo (diploma) kwa tuliokosa cutting point ya 4.0 na inaweza ikawa lini?
habari wandugu,naomba niulize kama kutakua na application za vyuo (diploma) kwa tuliokosa cutting point ya 4.0 na inaweza ikawa lini?
Are you sure bro??wiki ijayo mkuu. nacte watafungua tena dirisha la udahili
am sure.Are you sure bro??
vp kuhusu diploma ya udaktari mkuu ni vyuo gani vya serikari vinatoa pia ada na mdqam sure.
but unataka kusoma diploma ya faculty gan mkuu
swali zuri, kuna mdogo wangu anataka kwenda hiivp kuhusu diploma ya udaktari mkuu ni vyuo gani vya serikari vinatoa pia ada na mdq