Application ya radio kwenye simu bila kuwasha data

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
469
Reaction score
639
habari wadau, naomba anayejua Application ya radio nayo weza ipakua kwenye simu yangu ya Smart phone (Xiaomi) na kuweza kuitumia bila kuwasha data, maana nimeona nyingi zinataka uwashe data kwanza ndo uwashe radio.
Asante
 
tunasubili wote
 
Au kuna App ambayo inatakiwa uwe nayo ktk simu ili iweze kusapoti hii Application..?
ooh pole mkuu mi ndo naitumia hiyo app kuskiliza radio za bongo free bila internet na nimeiupdate sijapata hiyo message.
 
Hakuna App kama hii play store tunayoweza kusikiliza radio without internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…