Habari za jioni na poleni kwa uchovu wa kutwa nzima waheshimiwa sana wa hili jukwaa.Naomba wa application au hata setting ya kufanya simu isipatikane hewani pindi ninapopigiwa while simu ikiwa on nikiendelea na shughuli zangu zingine like surfing.
Shukrani za dhati.

Mimi cm yangu ni ya laini mbili VODA na tigo nikijaza hizo namba *35*0000#laini ambayo nakuwa sipatikani ni tigo tu voda inakuwa hewani kama kawaida sasa hapo nifanyaje wakuu?

Kwa Vodacom dial **21*0754125125# kwa kufunga incoming voice calls zote and you 'll be notified by sms (in real time) of all phone numbers that tried to call you ...,
Kwa kuifungua simu ili kuruhusu voice calls kuingia just dial ##002# ..
Hope you guys 'll find this piece of information useful .....