July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Nokia N97 Mini ni Touch screen na Nokia N73 ni yakawaida, hapo Games zinazo cheza kene N73 inaweza kua vigumu kucheza kene N97 kwasababu ya kutokua na buttons mfano Game ya FIFA kene N73 inahitaji buttons to control kama vile 2,4,5,6, 8,0,* na # ambazo kene N97 hazipo mpaka hapo utaona kua nivigumu kwa app ya N73 kufanya kazi kene N97.
Nakushauri tafuta apps specific kwaajili ya N97 ambazo zina support Touch input ambazo zitafanya kazi kene N97 bila shida
Kwa upande wangu, natumia Nokia E61i, na app zinakubali kufanya kazi ikiwa kama tu sitozima simu baada ya installation. Najaribu kutafuta apps. sahihi, na ambazo hapo awali hazikunisumbua kama Operamini 7, ila bado napata tabu. Je nifanyeje?
If you damn your own phone it wont work for you efficiently. Why not treat it with respect?
download opera hapa
Umejaribu version ya chini kidogo? Opera 7 inazingua sana ktk java phones nyingi nilizotumia
Nokia N97 Mini ni Touch screen na Nokia N73 ni yakawaida, hapo Games zinazo cheza kene N73 inaweza kua vigumu kucheza kene N97 kwasababu ya kutokua na buttons mfano Game ya FIFA kene N73 inahitaji buttons to control kama vile 2,4,5,6, 8,0,* na # ambazo kene N97 hazipo mpaka hapo utaona kua nivigumu kwa app ya N73 kufanya kazi kene N97.
Nakushauri tafuta apps specific kwaajili ya N97 ambazo zina support Touch input ambazo zitafanya kazi kene N97 bila shida
If you damn your own phone it wont work for you efficiently. Why not treat it with respect?
mkuu kama alivoeleza ningar ila kuongezea n97 ni series s60v5 yenye os ya symbian 9.4 wakati n73 ni series ya s60v3 yenye os ya 9.1. So technically n97 inakubali games na apps kali kuliko n73.
Ntakusaidia website chache za magame na apps.
Game za java
gameclub1 - peperonity.com
wanahost website za kirusi neno ckayat means download
symbian hd games
aamin.world1 - peperonity.com
hayana screenshot kwenye website ya juu so google majina ya magame utakayoyaona kupata review na screenshot.
App angalia result hii
s60v5 best app - Google Search