Application in writing

FARU JEURI

JF-Expert Member
Sep 4, 2015
377
299
Za J3 wakuu wa kaya. Naomba nipate uelewa wenu kuhusu hili neno "applicant should send their application letter in writing" ina maanisha iandikwe kwa 1. Mkono
2. Printed
3. Yote sawa?
586e6806192d5ff9ef9ba1879ad26f27.jpg
 
Ambiguous, haieleweki, lakini kwa kuwa ni kazi ya serikali nadhani wanamaanisha uandike kwa mkono wanakuaga na masharti ya kijinga namna hii.
 
Yaani sasa hivi ubabaishaji kila kona In writing???kwamba hapo ndo maana yake uandike kwa mkono??
 
In writing = kwa maandishi

Kwani barua unaweza tuma kwa sauti..? Hawa watu wababaishaji sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom