E enoel Member Joined Jun 14, 2019 Posts 26 Reaction score 1 Aug 13, 2019 #1 Jamani hivii application form kwa wale tuliochaguliwa Na serikalii 4m4 kwenda vyuo tunapatajee?
M makalango JF-Expert Member Joined Feb 10, 2017 Posts 462 Reaction score 259 Aug 13, 2019 #2 enoel said: Jamani hivii application form kwa wale tuliochaguliwa Na serikalii 4m4 kwenda vyuo tunapatajee? Click to expand... Ulidhibitisha kuwa utaenda chuo au kama ulifanya hvyo utaiona hapo hapo kwenye ukurasa wa kuthibitisha
enoel said: Jamani hivii application form kwa wale tuliochaguliwa Na serikalii 4m4 kwenda vyuo tunapatajee? Click to expand... Ulidhibitisha kuwa utaenda chuo au kama ulifanya hvyo utaiona hapo hapo kwenye ukurasa wa kuthibitisha
E enoel Member Joined Jun 14, 2019 Posts 26 Reaction score 1 Aug 13, 2019 Thread starter #3 makalango said: Ulidhibitisha kuwa utaenda chuo au kama ulifanya hvyo utaiona hapo hapo kwenye ukurasa wa kuthibitisha Click to expand... Nilithibitisha
makalango said: Ulidhibitisha kuwa utaenda chuo au kama ulifanya hvyo utaiona hapo hapo kwenye ukurasa wa kuthibitisha Click to expand... Nilithibitisha
M makalango JF-Expert Member Joined Feb 10, 2017 Posts 462 Reaction score 259 Aug 14, 2019 #4 enoel said: Nilithibitisha Click to expand... Basi ingia kwenye profile ulipothibitisha utaona maelekezo jinsi ya kubadilisha gharama sh 5000
enoel said: Nilithibitisha Click to expand... Basi ingia kwenye profile ulipothibitisha utaona maelekezo jinsi ya kubadilisha gharama sh 5000
E enoel Member Joined Jun 14, 2019 Posts 26 Reaction score 1 Aug 14, 2019 Thread starter #5 makalango said: Basi ingia kwenye profile ulipothibitisha utaona maelekezo jinsi ya kubadilisha gharama sh 5000 Click to expand... Taari kila kitu lkn application form Ndoo sioni
makalango said: Basi ingia kwenye profile ulipothibitisha utaona maelekezo jinsi ya kubadilisha gharama sh 5000 Click to expand... Taari kila kitu lkn application form Ndoo sioni
I IQup JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 1,965 Reaction score 3,220 Aug 14, 2019 #6 second selection mwaka huu haipo nini?
M makalango JF-Expert Member Joined Feb 10, 2017 Posts 462 Reaction score 259 Aug 15, 2019 #7 enoel said: Taari kila kitu lkn application form Ndoo sioni Click to expand... Nitumie namba zako nikuulize unakwama wapi
enoel said: Taari kila kitu lkn application form Ndoo sioni Click to expand... Nitumie namba zako nikuulize unakwama wapi