chief bazoka
Member
- Jan 31, 2014
- 97
- 22
Habari wadau.
Kwa walio apply nafasi za kazi tarehe 5/03/2014 nafasi za Sales andTicketing na passenger service agent kwa njia ya email mbona email yao inagoma ku deliver na katika tangazo email ipo sawa kabisa.
Kama kuna aliefanikiwa tusaidiane.