APPLE vs SAMSUNG wapata MpinzanI


saluti kwako mkuu
 

Hii ili ikae na chaji masaa mawili inahitaji 10000MaH battery
 

Chief nakukubali sana. Hivi suala la betri limekaaje? Mie Nina galaxy S4 nilinunua nje ila betry inanitesa sana. Hakuna ujanja wao kupata resistant one?
 
Chief nakukubali sana. Hivi suala la betri limekaaje? Mie Nina galaxy S4 nilinunua nje ila betry inanitesa sana. Hakuna ujanja wao kupata resistant one?

hella yako tu kaka kwa dola 40 unapata battery ya 7500mah ambayo itakaa na chaji mara 3 ya hiyo.

kama ilikua kwa matumizi yako inakaa na chaji masaa 8 basi hii itakaa masaa 24.

ipo ebay na amazon search keyword hizi.

ZEROLEMON S4
 
Ndo matatizo ya kutumia Nokia hayo mkuu (symbian Platform), Hamia iOS kisha download JF Appliction
symbian haihamiki kaka.

ios na android hadi leo hazina video editor na image editor ya maana nikiwa mbali na pc s3 yangu ni useless kwenye hayo mambo ndipo mzee mzima symbian anapofanya kazi yake.

c++, python na qt always ni best kuliko java. na zikiisha symbian najua imate watakua washatoa ile simu yetu ya windows.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…