Mbona hawa jamaaa creativity hakuna tangu afariki Mzee Jobs mpaka leo Notch haiondoki inapunguzwa tu, kazi yao kuleta new bionic chips, iPhone 11 to 12 hawakuongeza betri sasa hivi wameongeza battery kidogo mambo ya kusema wanaongeza brightness by 28% yashatuchosha.
Ndio maana Samsung wana wamock wanasema wanaona De javu maana mambo yaleyale eti
Tutanunua hivyo hivyoβ¦.nasubiri ijumaa nifanye pre-0rder
Hongera, Ila bora usubirire 14 tu mpaka Notch iondoke sema kama una pesa excess nunua tu
OhoooNitafika mbinguni nimechoka sana apple sio watu wazuri
[emoji3][emoji3][emoji3]Wadada tutafika mbinguni tumechoka sana
π π π Pole mkuuπππYani washafika iPhone 13 nasijawah miliki ata iPhone 1π₯΄π₯΄life is not fair πππ
πππjiongeze chapu huoni mwenzio anachangamkia fursa hapo juu.
By the way Usiuze utu kwa vitu kama simu havina tofauti na musiki utacheza wee kesho mond anaachia goma jingine.
Kabisa π π