Apple Ipad (Best Xsmas Offer)

 
Sawa mkuu nimekuelewa, ila nilichoona ni kwamba kwa hali ya sasa jinsi ilivyo ukiuza gadjet kama simu kwa bei inayofika 1mil + inakuwa vigumu sana kupata wateja, mimi siiuzi kwa faida kwakuwa sio mfanya biashara ni kwamba natafuta hela ya kuongezea ninunue kitu kingine ndio maana bei ipo chini, hatahivyo ningalijua toka mwanzoni ningepandisha bei kidogo lakini kwakuwa nishapost basi mwenye kubahatika kila kheri',,😛oa 😛oa
 
Brakelyn weka number ya ukweli tuongee biashara. Ukiona taaabu ni-pm tu mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…