kwa technology ya sasa ni kawaida mkuu, ddr4 kuna ram hadi za gb 128 na hio ni ram moja tu, tegemea na motherboard unaweza weka ram zaidi ya moja.
kwa computer ya kawaida inaingia slot 4 za ram hivyo unaweza ukaeka hadi GB 512 za ram, na ukija motherboard za server/workstation unaweza zidi zaidi ya hapo.
128GB sio za games, ni za workstation. Tanzania wapo watu wana matumizi hayo, hata wewe unaweza ukiamua, just unaeka virtual mashine unarun windows, android, osx, na distro za linux kwa pamoja, unaijaza faster tu hio ram.

hapana hizo ni office computer tu, workstation inakuwa na nguvu kuliko computer ya kawaida na hutumika kwenye vitu technical, kufanyia research etc.
mfano photoshop tu au image editing software inaweza ikatumia ram yote hio, hasa kwa wale wanao edit picha zenye resolution kubwa ambazo zina step nyingi nyingi.