Ugumu wa kozi ukoje? iwe ngumu iwe rahisi now its too late maana ushaa applyMwenye uelewa anijuze ugumu wa mech ukilinganisha na civil na ajira zinapatikana?? Mi nimeappl mwaka huu huenda nikachaguliwa mech
Sijui hata umeandika nini. Na mbaya zaidi ukute na wewe unaenda chuo wakati kuandika hujui.electrical vp uliapply? dzain civil washakua shaz kitaan kak..iko poa sana electrical
So mechanical ngumu sana??
Tupe link mkuu
Watu wengine bna...nyie ndo wale neno link mnakuja kulisikia 1st time umemaliza form 6...kila kitu utataka link...
We mbwiga kweli!!!!!!!
Kwahyo Kama kuna njia rahisi ya kuipata tusitumie??
Fikiria kabla ya kupost. Unaeza ukawa unamjibu babako humu.
Ungekua umesoma usingehoji upumbavu kama huo.
Umeshajaa upepo sioKwahyo Kama wanakujua ndio utoe comment ya hovyo ivo??
We unadhani kila anaeulizia maswala ya coz ni form 6 leaver?? Hakuna haja ya kujadl vitu visivyo na msingi.
Try something productive.
Umeshajaa upepo sio
Hapana tunajaribu kuwekana sawa tuu...