kama unazungumzia brt,basi quality haiwezi kuwa counted,labda design.
kama hutaki subiri uletewe hiyo bus ndio utajua hujui.sisi huku tuna buses design zote kwa daladala unlike you have nganyas,kuanzia FUSO,TATA,eicher,coaster etc.
labda ungesema highway buses ndio kuna unachozungumzia.