App

App

Mdau tu

Member
Joined
Jun 8, 2024
Posts
22
Reaction score
22
Ukitaka kutengeneza application unatakiwa ujibu maswali mangapi kupitia iyo app Yako unayotaka kutengeneza na kujiridhisha kwamba inafit
 
Namnanisha maswali gani common huweze kuyajibu
1::Kuna demand ?
2:Ina provide value gani kwa watu?
3:Unaeza kushindana na competitors wako/ uniqueness yako kwenye market.
4:Unaweza kumonetize vp (ukichana na ads)?
*Etcetera
 
Back
Top Bottom