Tafuta hii Sumatra mwisho wa matatizo hii ni kwa pdf.
Hata km ukikaa mwaka haujasoma kitabu, siku ukifungua unaanzia hapo hapo ulipoishia.
Sifa ya hii.
-ukishafungua kitabu kinajisave kwahiyo hata ukitaka kusoma haina haja ya kutafuta hicho kitabu bali unafungia program yako unakikuta.
-Ina zoom in and out
Kwa upande wa other format km doc, docx,docm bado sijajua mkuu