Kuedit picha kwakutumia simu itakisumbua sana bob, na kufikia level zile za picha za wasanii ni uongo, watu wanakaa miaka wakisomea graphics afu leo hii uweze kufikia level za picha zao kwakutumia simu, ni white elephant.
endelea tu kueka vi effect effect basi