Ndio mkuu, ila bado naendelea kufanya utafiti hadi nipate kituntakachoona ndicho bora zaidi. Nafahamu na wengine wanachukua uzoefu kwa wadau hivyo tuendelee kuweka mawazo yetu
Mimi natumia inaitwa "You version" nzuri sana moja ya advantage yake nachoipendea ni uwezo wake wa ku switch to other bible version yaani unaweza ukasoma KJV ukaenda swahili union, ukaenda contemporary English Version yaani ni wewe tu!