Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 530
- 821
Asante mkuuHongereni jApo sijamaliza maelezo yote ila nimewaelewa
Wasikwamishe,wawape nafasi,mnahoja na msikilizwe!SETNET
Sisi ni vijana wa Kitanzania tulioamua kuanzisha app ya kisasa kwa nia ya kuwa na jukwaa la kijamii, kibiashara, kielimu na kiburudani linalotoka Tanzania, kwa ajili ya Watanzania na dunia nzima.
SETNET ni app ya kizalendo inayochanganya huduma nyingi maarufu kwenye app moja ili kurahisisha matumizi na kukuza uchumi wa kidigitali wa ndani.
Sifa Kuu za SetNet:
1. Mawasiliano kamili: Kutuma ujumbe wa maandishi, sauti, picha, video, nyaraka, mahali, zawadi n.k (individually & kwenye magroup).
2 .SetBot AI: Kujibu maswali papo kwa papo kwa kutumia akili bandia.
3 .Status & Story: Kushirikiana maisha na marafiki – kwa uma au kwa faragha.
4 .Shorts & Picha (TikTok/Instagram style): Kushiriki video fupi na picha, likes, comments, na followers.
5. S-Tube: Kupakia na kutazama video kama YouTube – kwa elimu, burudani au biashara.
6. Movie & Music Zone: Filamu, nyimbo, na chaneli binafsi za kisanaa.
7. Book & App Store: Vitabu vya kielimu na apps za ndani – kusoma, kupakua, kuchangia.
8. SetNet Market & Wallet: Soko la bidhaa na malipo ya mtandaoni kwa kutumia dola, kwa urahisi kutoka sehemu yoyote duniani.
Changamoto Yetu Kuu – Kibali cha TCRA
Pamoja na jitihada zetu kama vijana wa Kitanzania, changamoto kubwa tunayokumbana nayo ni ukosefu wa kibali rasmi kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuruhusiwa kusambaza app hii kisheria na kwa usalama.
Tunaiomba TCRA au wadau wengine:
Kutupatia kibali halali cha kuendesha huduma hii.
Kutusaidia kwa ushauri wa kisheria na kiufundi ili kuhakikisha app hii inakidhi viwango vya sheria, ulinzi wa data, na matumizi salama ya kidigitali.
Lengo letu ni kuonyesha kuwa vijana wa Kitanzania tunaweza kuwa sehemu ya mapinduzi ya TEHAMA duniani, tukitumia suluhisho lililoanzia nyumbani.napokea ushauri
Asante sana mkuuWasikwamishe,wawape nafasi,mnahoja na msikilizwe!
Pamoja mkuuHongera sana.
Yuvi sisiemu mimi nafahamu janjajanja zenu,ebu acheni upuuzi wenu.SETNET

Wapi mkuu?Kuna mambo mmefanya mnakiuka hati miliki shauri yenu!
Why unasema hivyo mkuu?Yuvi sisiemu mimi nafahamu janjajanja zenu,ebu acheni upuuzi wenu.
Kama kuna mjamzito ambaye ni mwana ccm huyo mtoto ataihujumu Tanganyika,vivyohivyo kama aliyeweka ujauzito huo pia ni mwana ccm matokeo ni hayohayo na yuvi sisiemu ninyi ndicho mnachokifanya na hata hapo hayo mliyoyaleta na kuyasema siyo malengo bali malengo yenu ni kukusanya mawasiliano ya watu.Why unasema hivyo mkuu?
ShukuraniWrite your reply...nenda tbc1 omba nafasi ya kua mgene kwenye kipindi chochote cha mahojiano ya moja kwa moja na iwe mda wa habari saa 2. Hapo unaweza zungumza magumu yote unayowekewa na tcra
Kama hapo kwenye youtube download hapo, nina mashakaWapi mkuu?
Hakuna tatizo mkuu pia bado iko kwenye testKama hapo kwenye youtube download hapo, nina mashaka
Kazi nzuri sanaSETNET