Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
Uliyeachika ni weweEbhana kama ilivyo ada kwetu wanaume kuchepuka ilihali tumeoa na tunawapenda wake zetu na kuwajali pamoja na kuwatimizia yote ila kikubwa zaidi kufanya kwa siri sana wake zetu wasijue.
Ebhana jana usiku kama kawaida nimerejea toka mihangaikoni nikapita direct chumbani na kuvua nguo na cm yangu nikachomeka charge basi baada ya kula nikenda kuoga nilikuwa hoi sana nikalala fofofo.
Kumbe mwenzangu alikuwaga ananilia timing namna ya kutoa pattern akashika cm na kuanga kupekua kila kitu ebwana kwakuwa ninatumia App lock huwa sifuti chat zozote na mchepuko wangu mbaya zaidi huwa anapenda sana kukumbushia mechi baada ya siku kuanzia kwenye Voda mpaka mtandao pendwa Tigo .
Wife kamind kinyama na ninavyoongea now nimeshakuwa mgane while ninampenda sana mke wangu kuchepuka ni hulka tu sio kumchukia but no way out kuiamini sana App lock kumeniponza.
My take; Wanawake msikubali kuachika kisa mume kakusaliti hakuna mwanaume asiyechepuka duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si muoe huyo mchepuko? Ukishaondoa trust kwenye ndoa jua hapo hakuna ndoa bali uko na roommate tu. Upendo hupungua sanaEbhana kama ilivyo ada kwetu wanaume kuchepuka ilihali tumeoa na tunawapenda wake zetu na kuwajali pamoja na kuwatimizia yote ila kikubwa zaidi kufanya kwa siri sana wake zetu wasijue.
Ebhana jana usiku kama kawaida nimerejea toka mihangaikoni nikapita direct chumbani na kuvua nguo na cm yangu nikachomeka charge basi baada ya kula nikenda kuoga nilikuwa hoi sana nikalala fofofo.
Kumbe mwenzangu alikuwaga ananilia timing namna ya kutoa pattern akashika cm na kuanga kupekua kila kitu ebwana kwakuwa ninatumia App lock huwa sifuti chat zozote na mchepuko wangu mbaya zaidi huwa anapenda sana kukumbushia mechi baada ya siku kuanzia kwenye Voda mpaka mtandao pendwa Tigo .
Wife kamind kinyama na ninavyoongea now nimeshakuwa mgane while ninampenda sana mke wangu kuchepuka ni hulka tu sio kumchukia but no way out kuiamini sana App lock kumeniponza.
My take; Wanawake msikubali kuachika kisa mume kakusaliti hakuna mwanaume asiyechepuka duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
mambo dorrlynSi muoe huyo mchepuko? Ukishaondoa trust kwenye ndoa jua hapo hakuna ndoa bali uko na roommate tu. Upendo hupungua sana
Unaupenda?Mie nimeona tuu hapo kwenye mtandao pendwa wa Tigo.. Duuuuh
Poamambo dorrlyn
za masiku dea