Tecno nyingi zina folder linaitwa "pre-installed" ambalo lipo kwenye root system (ambalo ni tofauti na "system>app"), kwa hiyo hata uki-uninstall hizo pre-installed apps zitarejea baada ya ku-reset simu, hivyo fanya rooting,then ufute system apps usizotumia (ila kuwa mwangalifu) na kisha ufute na hizo pre-installed.
Kama utahitaji ushauri popote pale utapokwama, kuna members wengi tu watachangia mawazo.