App gani nzuri kuroot simu aina ya Tecno F1

App gani nzuri kuroot simu aina ya Tecno F1

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
671
Habarini

Simu ni Tecno F1 android 8.1 ni app gani nzuri kwaajili yake nimejaribu kinroot na framaroot lakin zote zinagomesha.

Nisaidien.
 
Hakuna app inatakayo root hyo simu. PC lazima ihusike utumie Magisk. Lakini hapa knowledge ya kuflash na kubackup firmware ya simu lazima ihusike
 
Hakuna app inatakayo root hyo simu. PC lazima ihusike utumie Magisk. Lakini hapa knowledge ya kuflash na kubackup firmware ya simu lazima ihusike
Na hapo kwenye ndo aiweke rehani hiyo sim, either kuipoteza au kubaki nayo if process ikienda wrong utaisoft brick ko jitahidi uwe kwanza na stock rom ya hiyo sim na ume enable USB debugging,
Good luck
 
Mh, aya
 
Adnroid Version ya 8 hauwez root cm kwa mobile app. Hapo lazma pc ihusike
 
Natafuta fundi anaeweza kuroot infinix hot 10 maeneo ya moshi Kilimanjaro
 
Haya mambo ya ku-root simu ctaki hata kuyasikia mana unaweza kushtuka kitu kimezima totally
 
Back
Top Bottom