Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,748 Reaction score 50,169 Jul 31, 2022 #1 Association of Private Health Facilities in Tanzania (APHFTA) lipeni watu waliokuwa wanahudumu kwenye Mradi wenu wa "Tohara salama". Kama hamna hela za kuwalipa waambieni.
Association of Private Health Facilities in Tanzania (APHFTA) lipeni watu waliokuwa wanahudumu kwenye Mradi wenu wa "Tohara salama". Kama hamna hela za kuwalipa waambieni.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,748 Reaction score 50,169 Sep 3, 2022 Thread starter #2 Ummy Mwalimu watu waliodhulumiwa wapo chini ya Wizara yako, au na hili nalo linahitaji Rais aingilie??
Ummy Mwalimu watu waliodhulumiwa wapo chini ya Wizara yako, au na hili nalo linahitaji Rais aingilie??
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,748 Reaction score 50,169 Sep 4, 2022 Thread starter #3 Smart911 said: Poleni sana... Click to expand... Jamaa wamepiga hela ndefu sana.