Apartments zinapangishwa makongo juu.

Joined
Jan 15, 2009
Posts
36
Reaction score
10
Wadau apartments zinapangishwa makongo juu, mwisho karibia na kanisa la roman catholic. Three bedroom apartments, one master, viwili vya kawaida, large living space , kitchen , na balcony mbili. Huduma ya maji, umeme vyote vipo. Bei laki sita. Kwa mawasiliano zaidi 0686833090.

 
Jaribu kuweka picha tena ndugu, pia ungeweka ful details za rent si mbaya pia ili kuepuka simu za mara kwa mara.
 
ziko ngapi?hazitofautiani?mfano one-bedroom,2-bedroom.......
 
gharama, na kufukika kwake, pia nisaidie payment terms kama ni 3,6 12months
 
gharama, na kufikika kwake, pia nisaidie payment terms kama ni 3,6 12months
 
Sa mdau kaweka post thn kasepa badala ya kujibu maswali yetu.bei mbona hujaweka?kifup maelezo yako hayajitoshelezi kabisa!!!
 
sa mdau kaweka post thn kasepa badala ya kujibu maswali yetu.bei mbona hujaweka?kifup maelezo yako hayajitoshelezi kabisa!!!

kumradhi kaka, majukumu mengine yalinitinga, nikashindwa kureply one time sijasepa. Bei ni laki sita.three bedroom , one master, large living space, kitchen, balcony mbili.nk hope nimekutoa hofu. Najaribu kuweka picha ila zinagoma.
 
gharama, na kufukika kwake, pia nisaidie payment terms kama ngi 3,6 12months

gharama ni laki sita swiper.ziko mwisho wa kituo cha mabasi yaendayo makongo. Tuwasiliane zaidi jinsi ya kufika kuzicheki.payment ni miezi sita na 12. Tuwasiliane zaidi kwenye simu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…