Apartment zinapangishwa Mbeya

Apartment zinapangishwa Mbeya

Lucho

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
37
Reaction score
9
Nina apartment nzuri sana Mbeya Sae karibu na pipeline,chumba self na sebule,zipo ndani ya uzio,maji na umeme 24/7 barabara nzuri.Bei kuna za 50000,choo cha nje,80,000 na 100000,hakuna dalali.Karibuni sana.0716432002
 
Simu kimeo nashindwa kuupload picha lakini ukitaka nicheck nitume kwa whatsapp,karibuni sana
 
Sorry kwa mlionipigia nipo safarini kama hatuelwani unaweza andika hata sms
 
Sae mkuu karibu na pipeline,zina ubora sana na masharti ya ulipaji ni nafuu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom