kipese0306
Member
- Feb 10, 2014
- 49
- 15
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Per month..??? Na hela ya kula utatoa wewe au ..??
Per month, ukitaka kulipiwa hamna shida!$550 per month??or?
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Per month..??? Na hela ya kula utatoa wewe au ..??
Yes, nyumba ya vyumba vi2 au vi3 unapata kwa less than £100 ambayo sawa na $130 kwa wiki.Inamaan kupanga London bei ya apartment ni chini ya dola 500 kwa mwezi au ?
Ili mbongo wa kawaida aweze kupangisha hiyo apartment, inabidi awe na mshahara siyo chini ya $1200 kwa mwezi. Na ukiangalia wafanyakazi wa chini serikalini hawapati mishahara hiyo. Wakati wafanyakazi wazungu wa kima cha chini wanapata more than $1200 per month ktk nchi zao.Hili ndio tatizo lingine la wabongo na mambo ya kuiga hadi kipelekea kuumizana kimaisha bila kujali uzawa.
Unapopanga price angalia hali ya uchumi na aina ya wateja.
Bongo RAIA from USA na RAIA from tz wanalipishwa bei sawa wakati ukiwa kwao huko walikoendelea wazawa kwanza na mgeni ndio unagongwa ili utakapoondoka usiondoke na pesa.
Bei hiyo ni kubwa hasa kwa huu wakati.
Ila watz tupo tayar jengo lilale tandabui kuliko kipangisha bei ya kawaida wateja wakawa wa uhakika
Bei (per month) poa sana hii. I wish I was in Dar.4bedroom Apartment
3 Bathrooms and Toilets
Sitting room
Kitchen
Store
Full Ac
Location-ilala Bungoni
Price-550usdView attachment 616907View attachment 616909View attachment 616910View attachment 616911
Poa,karipe nitahamiaPer month, ukitaka kulipiwa hamna shida!
HahaaPer month..??? Na hela ya kula utatoa wewe au ..??
Hii hapana kaka sio kweli .....kama unaweza kupanga apertment ya vyumba viwili kwa less than £ 100 London .......LONDON nimiongoni ya MIJI yenye Rent ya nyumba iliyo kuwa kubwa kuliko MIJI mingi MIKUBWA DUNIA .Yes, nyumba ya vyumba vi2 au vi3 unapata kwa less than £100 ambayo sawa na $130 kwa wiki.
Kwahiyo, kwa mwezi itakuwa kama £400