bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,012
- 741
Nyumba ni nzuri sa kisasa zenye parking kubwa na full security. Kila nyumba ina vyumba viwili vya kulala sitting room dying room kitchen na ndani kuna kila kitu unaingia na begi lako la nguo tu. Kuna sofa nzur z kisaa kuna smart tv na kin'gamuz cha azam tv kuna vitanda vizuri nk. Bei ni laki 8 kwa mwezi. Mazingira ni mazuri kwani yapo jirani na bahari. For more detail call 0712464777