martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,562
usiwe na shaka hata kidogo tutalifanyia kaziMtoto akizaliwa ulete picha yake kwa wakulu hapa
mkuu kwa heshima yako kwenye Harusi utakaa high tablehongera sana mkuu pia niwatakie ndoa njema
amenHongera sana kaka, apo umefanya jambo la maana sana... Mungu awatangulie.
hahahaa utoto huwa unasumbua sanaHongera kwa kujitambua...
angalia usije kuchelewa mkuuInapendeza kiongozi, Mimi bado kwanza naufanyisha moyo wangu mazoezi ukomaekomae kwanza sometimes maamuzi yake yakibwege sana
vunja ukimya zungumza na mwenzako mkuu acha wivuLazima wakupokee kama lissu maana umewaondolea mzigo. Kibaba kitapungua
Kwani bradha kuchelewa ni kuanzia miaka mingapi ?angalia usije kuchelewa mkuu
kuchelewa ni pale umepata mtoto anashindwa akuite baba au babuKwani bradha kuchelewa ni kuanzia miaka mingapi ?
ahsante mkuu, sintokosa ikiwa nitakua freemkuu kwa heshima yako kwenye Harusi utakaa high table