Hiyo hela unainunuaje?Hiyo laki 4 unaiona nyingi?
Kwa mwekezaji yeyote yule ni hela nyingi sana. Au wewe unaona ndogo? Yaani mtu uweke 100000 sehemu halafu baada ya mwezi mmoja ikuzalishie 400000 pasipo wewe kufanya kazi yoyote unaona ndogo?Hiyo laki 4 unaiona nyingi?
Hio hela nainunuaje mkuu,nielekeze tafadhaliWakuu Kuna Haja Ya Kuanza Kuwekeza Kwenye Crypto Kama Bado Huja Anza.
Dogecoin Mwezi Uliopita Yaani Tarehe 31/10 Ilikuwa Inauzwa Dollars 0.168146 Sawa na kama TZS 200 Kwa Exchange Rate Ya Tarehe 31/10/2024.
View attachment 3150202
Wakati leo hii Dogecoin Imepanda Thamani na Kufikia 1100 mpaka sasa hivi na inaendelea kupanda. Jana mchana saa 9 jioni ilikuwa ina thamani ya 679 Ila leo imeamka Na TZS 1100.
View attachment 3150199
Mpaka Kufika Jioni Itaweza Kupanda Zaidi.
Fikiria kama ungenunua dogecoin za thamani Ya 100000 Tarehe 31/10 leo ungepata dogecoin 500 kwa bei ya 200. Sasa chukua dogecoin thamani ya dogecoin ya leo ya 1100 zidisha mara dogecoin zako 500 utapata 550000. Ungekuwa umetengeneza faida ya TZS 400000 kufikia leo hii.
Bitcoin ilikuwa Ina Thamani Ya milioni 170TZS mwezi uliopita leo Hii Ina Thamani Ya million 236,012,506.25 TZS. Piga Hesabu Ya Faida Aliyopata Mtu Aliyenunua Mwezi Uliopita.
View attachment 3150198
Tuachane Na Bitcoin Kwa Sababu Wachache Wanaweza Kununua. Sisi tuanze kununua Dogecoin Au Anza kununua Currency Za Bei Ya Chini Zaidi.
Naona Utajiri Mkubwa Kwenye Sarafu Ya Mtandaoni Kwa Wale Watakaochukua Hatua Sasa Hivi.
Elon Musk And Trump Effects.
Hizi bitcoin sijui dodge coin ukitaka fedha kamili za madafu unazipataje? Tatizo tunaogopa hii mifumo ya mitandao ni rahisi kupigwa na ofisi ya kwenda kulalamikia hamna😀Wakuu Kuna Haja Ya Kuanza Kuwekeza Kwenye Crypto Kama Bado Huja Anza.
Dogecoin Mwezi Uliopita Yaani Tarehe 31/10 Ilikuwa Inauzwa Dollars 0.168146 Sawa na kama TZS 200 Kwa Exchange Rate Ya Tarehe 31/10/2024.
View attachment 3150202
Wakati leo hii Dogecoin Imepanda Thamani na Kufikia 1100 mpaka sasa hivi na inaendelea kupanda. Jana mchana saa 9 jioni ilikuwa ina thamani ya 679 Ila leo imeamka Na TZS 1100.
View attachment 3150199
Mpaka Kufika Jioni Itaweza Kupanda Zaidi.
Fikiria kama ungenunua dogecoin za thamani Ya 100000 Tarehe 31/10 leo ungepata dogecoin 500 kwa bei ya 200. Sasa chukua dogecoin thamani ya dogecoin ya leo ya 1100 zidisha mara dogecoin zako 500 utapata 550000. Ungekuwa umetengeneza faida ya TZS 400000 kufikia leo hii.
Bitcoin ilikuwa Ina Thamani Ya milioni 170TZS mwezi uliopita leo Hii Ina Thamani Ya million 236,012,506.25 TZS. Piga Hesabu Ya Faida Aliyopata Mtu Aliyenunua Mwezi Uliopita.
View attachment 3150198
Tuachane Na Bitcoin Kwa Sababu Wachache Wanaweza Kununua. Sisi tuanze kununua Dogecoin Au Anza kununua Currency Za Bei Ya Chini Zaidi.
Naona Utajiri Mkubwa Kwenye Sarafu Ya Mtandaoni Kwa Wale Watakaochukua Hatua Sasa Hivi.
Elon Musk And Trump Effects.
Kabisa mkuu. Halafu hiyo hela unaipata pasipo wewe kufanya kazi yoyote ile.Long term investment
Mkuu unahitaji kujifunza kwa undani. Inabidi ujifunze online jinsi ya kununua na kuwekeza kwenye hizo crypto. Uzuri ni kuwa elimu hiyo INAPATIKANA kwa urahisi online. Ngoja nitaandaa somo la jinsi ya kuwekeza huko.Hizi bitcoin sijui dodge coin ukitaka fedha kamili za madafu unazipataje?
Uzuri ni kwamba mkuu huhitaji Kuwekeza Mamilioni ya Shilingi. Unaweza Kuamua kuwa Kila mwezi unawekeza 100000. Ambayo haitakuumiza sanaSinto kaa nijaribu kiwekeza fedha mitandao, kwasababu bado nina mengi ya kufanya kila ninapo ishika fedha.
Sijaona uzuri bado mkuu, binafsi sijashawishika kuwekeza huko badoUzuri ni kwamba mkuu huhitaji Kuwekeza Mamilioni ya Shilingi. Unaweza Kuamua kuwa Kila mwezi unawekeza 100000. Ambayo haitakuumiza sana
Mkuu crypto imeanza mwaka 2008 huko, na tangu hapo imeendelea kupanda kampuni nyingi zimefunguliwa. Elon Musk amesema sasa hivi transaction nyingi kwa Marekani zinatakiwa kufanywa through crypto. Risk ipo tu mkuu. Kwani huku mtaani hakuna risk? Unaweza kuibiwa, Biashara Kuteketea kwa moto nk. Elewa kuwa mwekezaji yeyote yule ni risk takers. Kama siyo risk taker achana Na kuwekeza. Kaajiriwe hukoUkiwa unawekeza unatakiwa uzingatie sana sana 'real use case.'
Mali unayoiwekeza ina manufaa gani kwa watu? Nyumba ni makazi, hisa ni mitaji kwa kampuni nk...
Sasa cryptocurrencies zinasaidia nini?
Hii ni very risky, tegemea kulizwa.
Sawa mkuu. Ushawahi kujielimisha lakini kuhusu uwekezaji huo? Kama hujawahi nakushauri anza sasa kutafuta maarifaSijaona uzuri bado mkuu, binafsi sijashawishika kuwekeza huko bado
Kwahiyo mkuu unavuna hela toka kwenye ule uzi wetu uleeeee,unakuja kuziwekeza humu😄Wakuu Kuna Haja Ya Kuanza Kuwekeza Kwenye Crypto Kama Bado Huja Anza.
Dogecoin Mwezi Uliopita Yaani Tarehe 31/10 Ilikuwa Inauzwa Dollars 0.168146 Sawa na kama TZS 200 Kwa Exchange Rate Ya Tarehe 31/10/2024.
View attachment 3150202
Wakati leo hii Dogecoin Imepanda Thamani na Kufikia 1100 mpaka sasa hivi na inaendelea kupanda. Jana mchana saa 9 jioni ilikuwa ina thamani ya 679 Ila leo imeamka Na TZS 1100.
View attachment 3150199
Mpaka Kufika Jioni Itaweza Kupanda Zaidi.
Fikiria kama ungenunua dogecoin za thamani Ya 100000 Tarehe 31/10 leo ungepata dogecoin 500 kwa bei ya 200. Sasa chukua dogecoin thamani ya dogecoin ya leo ya 1100 zidisha mara dogecoin zako 500 utapata 550000. Ungekuwa umetengeneza faida ya TZS 400000 kufikia leo hii.
Bitcoin ilikuwa Ina Thamani Ya milioni 170TZS mwezi uliopita leo Hii Ina Thamani Ya million 236,012,506.25 TZS. Piga Hesabu Ya Faida Aliyopata Mtu Aliyenunua Mwezi Uliopita.
View attachment 3150198
Tuachane Na Bitcoin Kwa Sababu Wachache Wanaweza Kununua. Sisi tuanze kununua Dogecoin Au Anza kununua Currency Za Bei Ya Chini Zaidi.
Naona Utajiri Mkubwa Kwenye Sarafu Ya Mtandaoni Kwa Wale Watakaochukua Hatua Sasa Hivi.
Elon Musk And Trump Effects.
Basi at least calculate your risks.Mkuu crypto imeanza mwaka 2008 huko, na tangu hapo imeendelea kupanda kampuni nyingi zimefunguliwa. Elon Musk amesema sasa hivi transaction nyingi kwa Marekani zinatakiwa kufanywa through crypto. Risk ipo tu mkuu. Kwani huku mtaani hakuna risk? Unaweza kuibiwa, Biashara Kuteketea kwa moto nk. Elewa kuwa mwekezaji yeyote yule ni risk takers. Kama siyo risk taker achana Na kuwekeza. Kaajiriwe huko
Mkuu nilianza Kuwekeza kabla hata sija anza kupost chochote humu.Kwahiyo mkuu unavuna hela toka kwenye ule uzi wetu uleeeee,unakuja kuziwekeza humu😄
Ndiyo nilichomaanisha. Weka 50000 au hata 100000 kila mwezi. Weka Hela ambayo haikuumiziBasi at least calculate your risks.
Weka kiasi ambacho upo tayari kupoteza.
Fungua Akaunti yako ya wallet kwenye binance link iyo hapohttps://accounts.binance.info/register?ref=35828661 fuata iyo link then utaweka hii referral code 35828661 then ukishafungua uta download binance app kutoka playstore then humo ndani ya binance Kuna mawakala wa kuuza na kununua kwa njia za mobile money kama tigopesa,mpesa airtel money,bank transfer nk,,ukiwa huelewi njoo dm.Hio hela nainunuaje mkuu,nielekeze tafadhali