Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,284
- 33,881
Emanuel...Mwalimu wako alikuchukua kukupeleka chakulani baada kugundua ww ni mwislam, Mohamed said kuwa makini sana na kuutumia uislam kama jukwaa lako, uislam hauna shida na yeyote lakini wewe ulishaanza kuwa na tatizo, nimefatilia kwa muda yaani unashidwa kuuwakilisha uislamu kwa njia sahihi
Mgugu,Shukran mzee wetu kwa kutupa japo kwa uchache historia ya MONTAZA PALACE la huko ALEXANDRIA.
Ukipata muda tunaomba utuchambulie japo kwa uchache sababu zilizopelekea waarabu kushindwa katika na Israel katika hio vita ya Six Day War, mimi nnamashaka sana na Saudi Arabia kuhusika katika kushindwa kwao.
Hivi kwa nini Msaudi hakushiriki kabisa na waarabu wenzake katika vita hio.
Enyi waarabu weusi na weupe hamjawahi kumshinda myahudi.Mgugu,
Historia ya Six Day War hatuwezi tukaieleza hapa kwani ni ndefu lakini
vitabu vipo ambavyo utaweza kusoma na kuna maelezo mengi.
Lakini kitu kilichosababisha ushindi wa Israel ni kuwa walifanya pre-emptive
strike, yaani shambulizi la kushtukiza na karibu ndege za kivita 345 Misri
zilipigwa chini uwanjani.
Vita vikaanza Misri wakiwa hawana jeshi la anga.
Katika Siku Sita Nasser akasalimu amri na ndiyo ukawa mwisho wa vita na
Sinai, Golan Heights zikatekwa pamoja na Jerusalem.
Nitakuelezea kitu.
Waarabu wakajitayarisha na wakafanya vita vingine mwaka wa 1973 The Yom
Kippur War.
Vita hivi Misri na Syria walipigana kiasi ambacho dunia ilishangazwa sana.
Lakini katikati ya ushindi huu pakatokea ''matatizo,'' katika kuendesha hivyo
vita.
Saadat akasimamisha majeshi yake yasisonge mbele.
Hapo juu inaona nimeweka neno, ''matatizo,'' kwa hofu ya mimi kutumia neno
''usaliti.''
Lakini neno hili limetumika ndani ya jeshi la Misri na vijana ambao baadae kwa
huu usaliti waliamua kumpitishia adhabu ya kifo Saadat na ikatekelezwa.
Kuna barua ya mkono aliandika Hafiz Al Asaad wakati wa vita alipopata taarifa
kuwa Misri wamesimamisha vita majeshi yao hayasongi mbele na Syria sasa iko
peke yake kupambana na Israel.
Barua hii ipo katika kitabu cha Heykal, ''The Road to Ramadan.''
Hafiz Al Asaad alianza ile barua kwa maneno haya, ''Ndugu yangu Saadat hakuna
wakati ambao Waarabu wanaweza kurudisha heshima yao kama sasa...''
Hafiz Al Asaad alimsihi sana Saadat asirejeshi majeshi yake nyuma.
Yaliyotokea sasa ni historia kwani yote yanafahamika.
Saadat anadai kuwa walishinda Vita Vya Yom Kippur na nimefika sehemu moja
Cairo inaitwa Heliopolis, nilikuwa napita njia tu na nikakuta imejengwa kitu kama
mnara na kuna sanamu za madege na vifaru na pameandikwa aya ya Qur'an
isemayo, ''Msiseme kuwa wale waliokufa katika njia ya Allah wamekufa bali wahai...''
Hii imejenga kama alama ya kumbukumbu ya ushindi wa vita vile.
Lakini vita iliyokuja kuandika historia mpya kati ya Waarabu na Wayahudi ni vile
vya Hizbullah chini ya uongozi wa Hassan Nasralla walipopambana na Israel
mwaka wa 2006.
Vita vilipiganwa kwa siku 34 na baada ya UN kuleta sulhu kwa mara ya kwanza
majeshi ya Israel yalionyeshwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kama
CNN, BBC wakirudi kwao wameinamisha vichwa vyao chini.
Nini yalikuwa maneno ya Hassan Nasralla?
Mgugu,

Kipuyo,Enyi waarabu weusi na weupe hamjawahi kumshinda myahudi.
Mara zote mmekuwa mkichakazwa mkachakazika vyema.
Bila kuwatumia watoto na wanawake kama ngao yale makundi yenu ya kihalifu na kigaidi yangeshamalizwa muda mrefu.
Na ukibisha waambie wawaondoe wayahudi pale walipo.
Mtabaki kulia lia mpaka Bwana Yesu arudi aje alichukue Taifa lake na kuwaeleza ninyi njia ile pana mpite.
Yitzak,Ni maumivu yasiyoisha nikikumbuka ile vita jinsi tulivyochakazwa na myahudi
tupe madini sheikh wangu wengine tulikuwa bado sanaYitzak,
Hutaki kujua maneno aliyosema Hassan Nasrallah?
Mbinu za vita zimebadilika sana kutoka Six Day War mwaka wa 1967.
Mamba1,tupe madini sheikh wangu wengine tulikuwa bado sana
Ahsantaaa sheikh |