Anusurika baada ya kutoa wazo

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,657
9,794
Ilikuwa ni jioni katika banda la wanywa gongo ...ambapo wateja wengi na makondakta wa daladala pamoja na mateja.....sasa akaingia bwana kapelo..nakusema kwa nguvu KUANZIA KESHO DALADALA ZOTE MARUKUFU KAMA HAMTOI RISITI YA TRA..weweweweweeeee
kivumbi kilitokea na jamaa kunyanyuliwa juu kwa juu mpaka nje ya UBANDA sababu kwa kusema hivyo anaweza ifungua sirkali macho.teh teh teh aaarrghh
 
Back
Top Bottom