Antony Peter Mavunde mbuge mtarajiwa Dodoma

Antony Peter Mavunde mbuge mtarajiwa Dodoma

mwakafuka1981

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
21
Reaction score
3
Kuna tetesi wakazi wa jimbo la dodoma mjini wanataka kumkabithi kijana jimbo kama wewe ni mkazi wa dodoma naomba nipate maoni yako juu ya tetesi hizi kwani huu ndiyo wakati muhafaka
 
Safari hii tutawapa wapinzani kwa miaka 50 atujawai kupata mbunge tukajivunia tunambunge
 
Back
Top Bottom