C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,562 Reaction score 15,984 Apr 1, 2018 #121 duu AJ kashinda , mimi nasubiri game ya wilder na AJ maana wilder anamafharau sana hasa anamdharau AJ.
duu AJ kashinda , mimi nasubiri game ya wilder na AJ maana wilder anamafharau sana hasa anamdharau AJ.
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 14,267 Reaction score 13,573 Apr 1, 2018 #122 chotera said: duu AJ kashinda , mimi nasubiri game ya wilder na AJ maana wilder anamafharau sana hasa anamdharau AJ. Click to expand... Wilder atanyukwa.AJ is too big
chotera said: duu AJ kashinda , mimi nasubiri game ya wilder na AJ maana wilder anamafharau sana hasa anamdharau AJ. Click to expand... Wilder atanyukwa.AJ is too big
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,883 Reaction score 35,936 Apr 1, 2018 #123 mzee74 said: Wilder atanyukwa.AJ is too big Click to expand... Usimlinganishe Wilder na hivyo vibondia uchwara alivyokutana navyo AJ
mzee74 said: Wilder atanyukwa.AJ is too big Click to expand... Usimlinganishe Wilder na hivyo vibondia uchwara alivyokutana navyo AJ
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,445 Apr 1, 2018 #124 AJ
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 6,109 Reaction score 11,933 Apr 1, 2018 #125 Akimgonga Deontay Wilder atakuwa undisputed. Ngoma nzito.
Hamiyungu JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 598 Reaction score 777 Apr 1, 2018 #126 Hv dstv wameshindwa kuonyesha hili pambano!?maana nilitafuta saana kwenye ratiba zao sikuliona...hakika hawa jamaa wanafulia...azam ndio alitakiwa kujitosa vitu kama hivyo!
Hv dstv wameshindwa kuonyesha hili pambano!?maana nilitafuta saana kwenye ratiba zao sikuliona...hakika hawa jamaa wanafulia...azam ndio alitakiwa kujitosa vitu kama hivyo!
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 14,267 Reaction score 13,573 Apr 1, 2018 #127 Hance Mtanashati said: Usimlinganishe Wilder na hivyo vibondia uchwara alivyokutana navyo AJ Click to expand... AJ kakutana na Klitchsko na Joseph Parker. Hawa wote walikuwa mabingwa. Ni bondia gani wa maana aliyepigwa na Wilder?
Hance Mtanashati said: Usimlinganishe Wilder na hivyo vibondia uchwara alivyokutana navyo AJ Click to expand... AJ kakutana na Klitchsko na Joseph Parker. Hawa wote walikuwa mabingwa. Ni bondia gani wa maana aliyepigwa na Wilder?
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Apr 1, 2018 #128 Boxing died 2000. Joshua hamna kitu pale. Ni muscles tu.