Alichezesha EPL? How??Antonio huyo refa jau sana
Kuna siku alichezesha Epl la Chesiii, alooo aliwakanda balaa
Ah ni muda umepitaa, ila mwaka huuAlichezesha EPL? How??
Watu wakajipa urefa bila sababu za msingi😂😂
Chelsea na Spurs hawajawahi kukutana UCLAh ni muda umepitaa, ila mwaka huu
Alichezesha mechi flani ya chelsea na Tspurs,, sikumbuki ilikuwa UEFA or EPL..
Aliwabeba sana Tspurs
Una gubuChelsea na Spurs hawajawahi kukutana UCL
Kumbe mkiangaliaga mpira ndio mnakua mmetulia hivi kama mnaskiliza madini gani sijuiAh ni muda umepitaa, ila mwaka huu
Alichezesha mechi flani ya chelsea na Tspurs,, sikumbuki ilikuwa UEFA or EPL..
Aliwabeba sana Tspurs
Na ndo nataka afungwe mpk achakaeKumbe mkiangaliaga mpira ndio mnakua mmetulia hivi kama mnaskiliza madini gani sijui
Timu ya Ronaldo imefungwa, naangalia hapa
Ana majonzi sana daahNa ndo nataka afungwe mpk achakae
Usiropoke siku nyingine mpira huujui[emoji1787][emoji1787]Una gubu
Em nenda salama
Hata jana ile penalty ya Argentina ilikuwa ya mchongoHiyo siku nilimtukania sana rohoni
Alinikwaza sana, aliwabeba Totten kama watoto
Yan kutokukumbuka ilikuwa ni Uefa or Epl ndo useme hivyo?Usiropoke siku nyingine mpira huujui[emoji1787][emoji1787]