Avast niliiacha nilipo kutana na virus fignotok.A , Haikuweza kudetect, computer ilibadili mwenendo ikaanza kuwa na kiwewe. Ni Norton pekee ndo iliniokoa. Na mpaka sasa natumia Norton
Microsoft security essential haitumiki tena tangu xp ilipopigwa chini na ukiendelea kuitumia yenyewe inageuka kuwa kirusi au inakuwa mpelelezi wa Microsoft, Bitdefender ndiyo inayoongoza sokoni kwa sasa soma reviews kwenye mtandao
Mi kwangu haijawahi kusumbua, Iloyo wahi kufanya PC yangu kuwa slow ni Karspersky. Ila kwa sasa natumia 6GB RAM, So inaweza kuwa sababu ya kutoona slowing down.
Inafanya kazi mkuu hata kwa xp mpaka July 2015, kama wewe si mpenzi wa kutumia software za kununua nakushauri usitumie hii AV na kwa sasa nakushauri tumia Bitdefender ni nzuri sana kwa uzoefu wangu