Avast niliiacha nilipo kutana na virus fignotok.A , Haikuweza kudetect, computer ilibadili mwenendo ikaanza kuwa na kiwewe. Ni Norton pekee ndo iliniokoa. Na mpaka sasa natumia Norton
Avast niliiacha nilipo kutana na virus fignotok.A , Haikuweza kudetect, computer ilibadili mwenendo ikaanza kuwa na kiwewe. Ni Norton pekee ndo iliniokoa. Na mpaka sasa natumia Norton
Microsoft security essential haitumiki tena tangu xp ilipopigwa chini na ukiendelea kuitumia yenyewe inageuka kuwa kirusi au inakuwa mpelelezi wa Microsoft, Bitdefender ndiyo inayoongoza sokoni kwa sasa soma reviews kwenye mtandao
Nachoipendea Avast ni kwamba imetengenezwa zamani sana ukicompare na AV nyingine. Kwa hiyo kupambana na threats hata wa zamani ni kitu cha kawaida. Ina scan PC kwenye backgeound bila kutumia kiasi kikubwa cha RAM.
NOD32 Ndio Funga Kazi. Mwanzoni nlikuwa nkutumia Avast lakini ikawa inakula Mafaili ambayo yameathirika. Saivi nnaitumia NOD32, Hakika ni nzuri na utaipenda.