Antibiotics | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Antibiotics

Discussion in 'JF Doctor' started by Loyal_Merchant, Apr 20, 2011.

 1. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Antibiotic ni dawa za aina gani.? Na ni zipi.?
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hiyo inataka maelezo ya kitaalamu kutoka kwa madaktari lakini jaribu kutembelea hapa:
  Antibiotics
   
 3. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Fahamu tu ya kwamba hutakiwi kunywa antibiotics bila kuandikiwa na daktari. Sasa ukienda kwake ndio atakueleza zaidi
   
 4. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni dawa za kuua vijidudu vya magonjwa aina ya bacteria.
  ni kama amoxilin, PPF nk
   
 5. manyoda

  manyoda Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 15
  ANTIBIOTICS ni dawa zinazopigana na vijidudu vidogovidogo vinavyoitwa bacteria. Zipo za aina mbili, zinazozuia bacteria asikue na kuzaliana, yaani bacteriostatic, na zile zinazoua kabisa bacteria yaani bactericidal.
  Kuna aina nyingi sana za antibiotics na kila moja wapo ina aina fulani ya bacteria ambazo huwadhibiti kwa ufanisi zaidi, na nyengine hazidhuru kabisa baadhi ya bacteria.
  Kuna ambazo zinadhuru ama kuua aina nyingi sana za bacteria na hizi kitaalam wanaziita broad spectrum antibiotics, mfano ni kama ceftriaxone na wenzake.
  Ili kudhibiti ukomavu wa dawa wa bacteria, inashauriwa watu wasitumie dawa hizi ila kwa ushauri wa daktari, na pale ngonjwa anapopewa dawa hizi, basi ahakikishe anamaliza dose/atumie dawa kama alivyoshauriwa na wataalamu.
  Hili ni somo refu sana, ila kwa kifupi nimeeleza ni nini antibiotics.
  Ahsante
   
Loading...