MwanaHaki R I P Joined Oct 17, 2006 Posts 2,401 Reaction score 710 Mar 3, 2013 #1 Waungwana Kwenye Android phones kuna anti-theft software, nyingi zinapatikana bure. Hiyo ya Avast, ukishaifanyia Rooting, inajichimbia ndani hata wakiflash simu inabakia humo ndani. Je, kuna software kama hiyo kwa ajili ya Nokia X2-02?
Waungwana Kwenye Android phones kuna anti-theft software, nyingi zinapatikana bure. Hiyo ya Avast, ukishaifanyia Rooting, inajichimbia ndani hata wakiflash simu inabakia humo ndani. Je, kuna software kama hiyo kwa ajili ya Nokia X2-02?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,229 Reaction score 44,239 Mar 3, 2013 #2 mkuu si ulishaambiwa haiwezekani?
Madagiz Senior Member Joined Feb 1, 2013 Posts 185 Reaction score 56 Mar 5, 2013 #3 Dah,wataalamu hebu nifahamishen hyo rooting inafanyika vp,ni phone restore au ni nini !