Anti-poverty group urges G20 to tackle corruption

nkosikazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
361
Reaction score
337
Ripoti ya taasisi ya Marekani iitwayo One Group imeleta taarifa ya kutisha kuwa kiasi cha dola za kimarekani trilioni moja huchukuliwa kutoka nchi masikini na kupelekwa nje ya nchi kutokana na rushwa kukithiri.

Ripoti inasema zaidi ya watu 3.6milion hufa kila mwaka kutokana na madhara ya rushwa hii inayosababisha wakose huduma ya afya na kufariki. Aidha watoto milioni 10 hukosa elimu na mahospitali kukosa dawa na vitendea kazi.

Wanapendekeza uwazi zaidi katika mikataba ya mafuta na gesi ili iweze kuwasaidia watu hawa maskini, hasa Afrika kusini mwa Sahara.

=================


Source: BBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…