mmmmh mbona kama kuna mtu alidedishwa apoNaomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vema kama atakuja hapa atujibie hapa tukiona haji hapa basi nadhani itabidi atukibie kwenye forums nyingine shida yangu natamani kujua kuhusu Jambo hili.
Mdo tunataka tujue lakini huyu mtu inasemekana alikwenda kutibiwa nje na baadae mauti yakamkuta.mmmmh mbona kama kuna mtu alidedishwa apo
Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhami ukweli huu unawezakusaidia kujua why kuna watu wanakuwa na mahaba makubwa na ......muulize na brumet kama hawamdai
Kama yumo humu.... akisoma comment yako, anaweza akaamua kuacha kazi...[emoji13] [emoji13]Vifo vya magavana wa BOT vinakuwaga na Utata sana,Benno ndulu anajua kula na vipofu ndio maana mpaka sasa yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhami ukweli huu unawezakusaidia kujua why kuna watu wanakuwa na mahaba makubwa na ......
Sent using Jamii Forums mobile app