Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 5,919 Reaction score 12,685 Jun 10, 2017 #2 Mkuu BAK habari za asubuhi..
Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,442 Jun 10, 2017 #3 Huu ni ubaguzi wa mtandao maana wengine hatuna MB.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,694 Jun 10, 2017 #4 Huyu mzee huwa anaenda maeneo ya ndani mno khaaa...ila atakuwa anavuta mpunga mrefu mno Kipindi kingine kizuri cha Jeremy Wade kile "River Monsters" cha Discovery
Huyu mzee huwa anaenda maeneo ya ndani mno khaaa...ila atakuwa anavuta mpunga mrefu mno Kipindi kingine kizuri cha Jeremy Wade kile "River Monsters" cha Discovery
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,959 Reaction score 3,792 Jun 10, 2017 #5 Clip halina sauti ,nadhani umeamka nazo aisee
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,575 Reaction score 18,003 Jun 10, 2017 #6 Wengine tunatumia Free basic Mkuu..yaani ni chenga tupu
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jun 10, 2017 Thread starter #7 Poa tu Mkuu. Bila shaka Watu8 na vyakula ambavyo amewahi kula katika maeneo hayo vingi vitakuwa ni vyenye ladha nzuri sana. Ngorunde said: Mkuu BAK habari za asubuhi.. Click to expand... Watu8 said: Huyu mzee huwa anaenda maeneo ya ndani mno khaaa...ila atakuwa anavuta mpunga mrefu mno Click to expand...
Poa tu Mkuu. Bila shaka Watu8 na vyakula ambavyo amewahi kula katika maeneo hayo vingi vitakuwa ni vyenye ladha nzuri sana. Ngorunde said: Mkuu BAK habari za asubuhi.. Click to expand... Watu8 said: Huyu mzee huwa anaenda maeneo ya ndani mno khaaa...ila atakuwa anavuta mpunga mrefu mno Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,694 Jun 10, 2017 #8 BAK said: Poa tu Mkuu. Bila shaka Watu8 na vyakula ambavyo amewahi kula katika maeneo hayo vingi vitakuwa ni vyenye ladha nzuri sana. Click to expand... Huwa anagonga msosi wa kila aina... Kuna wakati alieenda nadhani ni Thailand ndani ndani huko, mwenyewe alikuwa anasema anaenda kwa rafiki yake wa siku nyingi...basi kile alichoalikwa kunywa ni kama gongo hivi na hao jamaa namna wanavyokunywa yaani mtu anatakiwa anywe hadi azime
BAK said: Poa tu Mkuu. Bila shaka Watu8 na vyakula ambavyo amewahi kula katika maeneo hayo vingi vitakuwa ni vyenye ladha nzuri sana. Click to expand... Huwa anagonga msosi wa kila aina... Kuna wakati alieenda nadhani ni Thailand ndani ndani huko, mwenyewe alikuwa anasema anaenda kwa rafiki yake wa siku nyingi...basi kile alichoalikwa kunywa ni kama gongo hivi na hao jamaa namna wanavyokunywa yaani mtu anatakiwa anywe hadi azime
J johnnydeep Senior Member Joined May 2, 2017 Posts 116 Reaction score 104 Jun 10, 2017 #9 Ndio yule alikuwa amejipaka kinyesi India na kunywa damu ya watu ?