Braza
Chipolopolo sentensi yako imegawanyika katika sehemu 2 nusu umeongea la maana nusu umeongea kama yule Msemaji wa team Y yenye jina linaloanza na herufi "S".
Ki'ukweli kabisa majukumu haya mapya niliyoyaanza mwishoni mwa mwaka jana yananibana sana kiasi kwamba kupata muda wa kujumuika na Wadau huku kila siku inakuwa ngumu sana...hata hivyo tupo pamoja sana