Endeleeni na mabwana zenu wakati best President kwa Africa ni magufuli kwa sasa,
Wakenya wengi wanamkubali na kutamani kupata kiongozi kama Magufuli.Keep talking about past news to satisfy yourself,
Wakati Hapo kwenu ukabila ni current newsWarudishine coz mliwaleta ninyi. Huo ndio ukweli that's why ukaquote. Ukabila uwedumaza akiliKenya ndio nchi inayowatax raia wake tax kubwa na za ovyo ovyo,
Ndio maana wananchi wa Kenya wanalalamika maisha magumu na kukimbia nchi yao,
Katika wakenya 10 basi 7 wanatamani kuhama kenya
Hapa kazi tu.
Alikamatwa for fraud bcoz of tala. They are out now. And he is free na wameshailipa serikali, wanaendelea na kaziUmesahau mliempa kazi badala ya Sylvia Mulinge(ambaye mlimteua nyinyi wenyewe) mlimkamata kwa 'fraud' hata kabla mwaka hujaisha? Meanwhile, Sylvia Mulinge alinyakuliwa tena na Safcom na hakurudi kwenye kazi yake ya hapo awali. Alipandishwa cheo na kitengo ambacho anaongoza ni zaidi ya mara tatu ya Vodacom. Mungu alimnurusu Sylvia, sio siri.Vodacom Tanzania boss arrested
Hisham Hendi and several staff questioned over alleged fraudulent use of network facilities.www.theeastafrican.co.ke
Ataishia ku mastabeti tu, maana hata kuifak hataweza. Eti ya ki K? Hahah washapewa fasihi tamu hao watu wa hivyo.ko ukipewa hii nchi utafanya mapya kama yapi
Hayo maneno ht kwenye keki yapo na yaliwa.
Watasema sana kumchafua ila hatochafuka.
Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe.
Hawa ni vipofu wamefikaje Nairobi ??!!!
Kuna michezo mnaicheza ninyi hapa.
Hii kiboko!Disaster waiting to happen.
Tanzania hakuna jambo hamtatuonyesha.
View attachment 1216395
View attachment 1216396
Unaona unavyojikanyaga!!??Omba omba ni biashara kubwa Tanzania. Wako na wafadhili wao huko huko.
Unajipe moyo!!!Dikteta Makufuli is killing many more daily.
Nadhani hata maana ya kiburi hujui.Paying rents ni normal sana...hta kw first world countries watu wamekodi na wanishi poa tu...
Anyway...kiburi tu huna lolote
Nadhani hata maana ya kiburi hujui.
Ndio upumbavu sasa kujisifia unalipa kodi kubwa kunizidi ilhali mm naweza rent house km yako kwa kodi ya robo unayolipa.
Nani kwao kuna unafuu wa gharama za maisha ?!!
Sijui unaelewa?!
Hayo mambo ya kiburi sijui yameingiaje na hayo mambo ya sina lolote sijui yameingiaje !!
Ilhali hatujuani.
Unaona unavyojikanyaga!!??
Njoo uchukue wajomba zako tumewasweka korokoroni huku kwa ujambazi.
Omba omba wa Tanzania wako kwa maelfu Kenya. Failed state.
Export yenu kubwa duniani ni omba omba. Na bangi.
Gateway of bhang from Tanzania’s green farms
Bhang impounded in the region in the past three years is worth over Sh100m.www.nation.co.ke
Mbna nisikuelewe wakti wewe n mtu na akili zako...
Lkn ujue mjini ni pa kila mtu...na wengi wao wana makwao, so mjini wapo kikazi tu...then pia kw mfano mtu wa kipato cha kati, wengi wao hujenga majumba makwao..
Utakuta mtu mjini ywalipa kodi kumbe kwao ana nyumba nzuri tu, kw sababu ukilinganisha gharama za kujenga nyumba kwao zipo chini kiasi na pia kulingana na kipato chake mjini hatoweza kununua kiwanja na kujenga nyumba ya maana vile kw sababu ni ghali mno...
So si wote wanolipa kodi mjini eti hawamiliki mijengo...
Omba omba wa Tanzania wako kwa maelfu Kenya. Failed state.
Export yenu kubwa duniani ni omba omba. Na bangi.
Gateway of bhang from Tanzania’s green farms
Bhang impounded in the region in the past three years is worth over Sh100m.www.nation.co.ke
Just shows the low level of incomes, cheap standards. Just some cheap "dream houses" with no sewer and other social services..Ndio ujue Tz life ni easy hauumizi kichwa kama kwenu huko.
Yani hiyo 25000 ongeza 15000 yani 40,000Tsh unapata sehem ya kupanga na ina mpk maji ndani kigamboni.
Na nzuri fresh.
Ila sio kenya.
Maisha ghali then magumu.
Hilo la kujenga kiholela ni mbaya sana, cz ukiangalia dar wengi hzo nyumba wanazimiliki..so kumuondoa ni ngumu sana...
Thats why serikali inapata wakati mgumu sana kufanya uamuzi wa haraka...
Angalia km nairobi..karibia slums zote ni ardhi ya serikali..sidhani km kuna mtu ana hati ya yale maeneo...tatizo wansiasa wetu huweka mbele sana kura...mdo manake hata kuwa evict ni ngumu..
Wacha kura pekeake,hata human rights wataingilia kati...unaweza kuleta vita nakwambia...
Sasa kwanini msiwajengee angalau nyumba za kawaida tu mtoe hizo za mabati?