Kijana wazungu wanasema Expectations Kills, muandiko wako unaonyesha wewe ni ajira mpya ya miaka hivi karibuni... Hiyo annual increment haitakutosha hata kununua mfuko wa cement... Achana nayo ndio maana unaona watumish wenzako hata hawajashitushwa kusikia inarudishwa ni hela ya ambayo ukitaka kuitoa hata kwenye ATM haitoki