MovingForward JF-Expert Member Nov 10, 2009 489 49 Nov 1, 2010 #1 Pamoja na kuahidi kuweka kambi moshi mjini, mpaka CHADEMA ing'oke, Anne Kirango Malecela amethibitisha kushindwa kwake!!. Kichwa kilichovimba kimepwaya ghafla.
Pamoja na kuahidi kuweka kambi moshi mjini, mpaka CHADEMA ing'oke, Anne Kirango Malecela amethibitisha kushindwa kwake!!. Kichwa kilichovimba kimepwaya ghafla.
Nyambala JF-Expert Member Oct 10, 2007 4,465 1,170 Nov 1, 2010 #2 Ubavu atoe wapi wakati hakunusa kule kipindi chote cha kampeni?
M Msharika JF-Expert Member May 15, 2009 947 69 Nov 1, 2010 #3 pia na Ole sendeka alipiga kambi moshi pale pasua akipasua VITU bila mafanikio yoyote.
Scientist JF-Expert Member Feb 7, 2009 391 14 Nov 1, 2010 #5 Anamaumivu mzee katoswa kule Dodoma... asingeweza kupata muda wa kwenda Moshi!! kwi kwi kwi kwi
The Finest JF-Expert Member Jul 14, 2010 21,605 6,080 Nov 1, 2010 #6 Kwishnei hakuna kulala hadi kieleweke