M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,113 Apr 11, 2016 #1 Rais magufuli ametengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango malechela kwa kutoka taarifa za uongo kuhusu wafanyakazi Hewa mkoani mwake. Source:TBC1
Rais magufuli ametengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa shinyanga Ana kilango malechela kwa kutoka taarifa za uongo kuhusu wafanyakazi Hewa mkoani mwake. Source:TBC1
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,114 Apr 11, 2016 #3 TBC bana vyombo vyote vya habari vimetoa breaking news ilibaki TBC tu. Mkuu nakushauri hama TBC
M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,113 Apr 11, 2016 Thread starter #4 MKWEPA KODI said: TBC bana vyombo vyote vya habari vimetoa breaking news ilibaki TBC tu. Mkuu nakushauri hama TBC Click to expand... Sio mta samadhi kabisaa wa TBC......hapa nilipo ni eneo public so nimekuta wanaangalia.
MKWEPA KODI said: TBC bana vyombo vyote vya habari vimetoa breaking news ilibaki TBC tu. Mkuu nakushauri hama TBC Click to expand... Sio mta samadhi kabisaa wa TBC......hapa nilipo ni eneo public so nimekuta wanaangalia.