Anna Kilango achafua hali ya hewa kamati ya Miundombinu

Nadhani M4C imemchanganya!
Apewe msaada wa kisaikolojia!
Alichofanya si ishara ya uongozi bora hata kidogo.
Hatimaye, tunapima viongozi wetu si kwa sauti zao,si kwa makelele yao.
Tunawapima kwa matendo yao.

kwenye Blue nampa A+
 
hamjui kuwa huyu mama ana matatizo ya kiakili?

Ile familia yao imeingia kirusi cha nyuklia kinawakula.

Baba anaumwa kaugonjwa kanakoitwa PRESIDENTIMANIA
mama yeye kapata FIRSTLADYMANIA
Mtoto yeye aliukwaa u EALAMANIA

Tuendelee kuwaombea
 
Sijawahi kumuamini hata siku moja kwa kila anachoongea huyu maza, sijui kwanini. Naona anafaa kuwa muigizaji zaidi kuliko mbunge.
 
Hizi zote ni SERA za CCM katika muendelezo wake wa kuvua magamba watu a.k.a kusafisha oil chafu .... CCM msirudi nyuma !
 
Hivi hizi kamati kweli zitzfanya kazi mwaka huu? Hiyo ya LAAC ndio hivyo mwenzao kakamatwa akiwachukulia advance ili wapitishe mahesabu ya Mkuranga, Miundo mbinu nao wameanza kufanyiana majungu
wananchi tutegemee lolote kwa kwa aina hiyo ya wabunge?
miundo mbinu inaongozwa na Mwakiembe na serukamba ni kambi ya El,El na mwakiembe ni kama ujuavyo nadhani umeiona picha mkuu wangu.hiyo ndo ccm
 
Kuna kitu anakitafuta huyu mama ila style ya kukipata ndo haijui.Atahangaika sana kwa mtindo huu.
 

RED: kwenye kura tulizowapa 2010. ndo mkome kuwachagua tena
 
Reactions: FJM
these chaps are joking with us!! Wanacheza na kodi zetu, wanaenda kukaa dodoma miezi 3 wakilipana mamilioni wakirudi business as usual!Ifike mahali sisi wananchi tuamke tubane serikali na bunge tuhoji utendaji wao sio wanatuletea upuuzi kila siku tunawasikiliza tuu!!
 
hivi ilikuaje Kilango akakosa uwaziri?

kwa sifa zipi za kupewa uwaziri?? ila kwa serikali loose kama ya Vasco da gama lazima tushangae! labda kuna issues hakutekeleza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…