Ann Romney cried when Obama won !!

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Posts
9,539
Reaction score
5,923
By The Week's Editorial Staff | The Week – Fri, Nov 9, 2012

Ann Romney cried when Obama won

When it was all over on Election Night, the GOP nominee called Obama to concede defeat. "Romney was stoic as he talked to the president," says CBS News' Crawford, "but his wife Ann cried so much." His running mate Paul Ryan "seemed genuinely shocked," while "Ryan's wife Janna also was shaken and cried softly."

Romney had purchased victory fireworks
"Things didn't go as planned for Mitt Romney on Election Day in more ways than one," says Glen Johnson at The Boston Globe. "The Republican was prepared to celebrate his election as the 45th president with an eight-minute fireworks display within view of his party at the Boston Convention & Exhibition Center." The Romney campaign reportedly paid $25,000 for fireworks that "had a patriotic theme, heavy on red, white, and blue colors."

Kama josefina vile na ndoto za ikulu.Atapasikia tu kwenye tv.Au labda Chadomo waombe kukutana na Rais watoe tena mchango wao kwenye katiba ili afuatane na jamaa yake
Chezea U-firstlady wewe
 
Kama josefina vile na ndoto za ikulu.Atapasikia tu kwenye tv.Au labda Chadomo waombe kukutana na Rais watoe tena mchango wao kwenye katiba ili afuatane na jamaa yake

Sasa josephine anaingiaje hapo..acha kuwa na akili za panzi
 
Kama josefina vile na ndoto za ikulu.Atapasikia tu kwenye tv.Au labda Chadomo waombe kukutana na Rais watoe tena mchango wao kwenye katiba ili afuatane na jamaa yake

Anawanyima usingizi.
 
Kama josefina vile na ndoto za ikulu.Atapasikia tu kwenye tv.Au labda Chadomo waombe kukutana na Rais watoe tena mchango wao kwenye katiba ili afuatane na jamaa yake

You sound like Karl Rove. Do not take things for granted, dude. The unthinkable can happen in politics
 
Alilia kwa sababu alijiamini sana na polls zilikuwa zinamdanganya mama wa watu. Alishanunua sanamu na maua kibao ya kwenda kupamba ikulu. Angekuwa mumewe ni mwana siasa wa Tanzania angesema wamerogwa na mbaya wao wanamjuwa. Marekani wanafuata sheria na haki ya binadamu na binadamu hao hao hawakumtaka Romney ashinde.
 
The guy is very smart upstairs. to beat wazungu two times is NOT a joke.
...
wengi walimchukia kwa sababu ni mweusi ila wanaojua alichofanya hawakuangalia rangi... we wish him all the best.....sijui atatukumbuka hata kuturushia kipande cha mkate sisi jirani na babu yake?
 
Kama josefina vile na ndoto za ikulu.Atapasikia tu kwenye tv.Au labda Chadomo waombe kukutana na Rais watoe tena mchango wao kwenye katiba ili afuatane na jamaa yake

Bakia kwenye mada:bowl:
 
Wapi Mwanakijiji!
Mtu mwenyewe ni wa kijijini, ataweza wapi siasa za Marekani? Labda za CCM ambako chumvi, Tshirts na kofia zinatosha sana kushinda uongozi. Yupo na mwingine anaitwa Natalia, hawa wote wakiona uzi kuhusu uchaguzi wa USA wanaingia kama guests! Jaluo kawatoa kwenye ramani sasa wanakuwa wanachungulia kwa mbali wakiogopa kusombwa na The Obama Effect!
 
The guy is very smart upstairs. to beat wazungu two times is NOT a joke.
Na Florida kashinda, making a landslide win of 332 electoral college votes v/s 206 votes za ROB ME (Romney). Hili ni gap la kura 126 na kufanya ushindi wa Obama kuwa wa kishindo kwa 61.71%. Hispanics na Latinos walipohojiwa baada ya kupiga kura kule Florida walisema hawakumwamini Romney kwa sera zake kuhusu mambo ya uhamiaji kwani amekuwa ni mtu wa misimamo isiyoeleweka, mara misimamo mikali, mara abadilike iwe ya wastani, etc. Nadhani hizo ndio dalili ambazo Bw. Mkubwa alizisema ni za Romnesia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…