Hivi haka katoto ka kwenye tangazo la MICHEPUKO SIYO DIRI kalikotibua mchepuko wa MAMA SOFI (ANKO KIDEVU)kama MAMA SOFI NI MAMA YAKE WA KAMBO-Baada ya hapo katakuwa kanaishi maisha gani baba wa mtoto ukiwa haupo?? Mi nahisi katakuwa kanawekwa kwenye BOX

Kuna mengi sana ya kufikiria kuhusu hako katoto, lakini bahati nzuri hilo tukio ni la kuigiza tu! Lakini katika
maisha ya uhalisia hako katoto kengepata manyanyaso makubwa!