Animals are cute

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Wanyama wanapendeza kwa kweli khasa kwenye picha. Angalia hawa na uongoze wengine
 
Umenifanya niukumbuke huu wimbo wa zamanii.....

Katika viumbe vyootee viliivyoumbwaa... binadamu kaumbikaa kuliko vyoteeee. ....

Amepewa masikiooo na macho ya kuonaa
Na akili ya kujua mema mabaayaa.

Kasinde.
 
Umerudisha fikra zangu mbali kiasi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…