Hivi huyu mchambuzi feki bado yupo jukwaani?Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Hivi huyu mchambuzi feki bado yupo jukwaani?
Ni kweli tunakukumbukaNipo hapa mtakuja kunikumbuka
Ni kweli mkuuHii Yanga ni mbovu sana
Timu Haina fowadi Wala kiungo Mtengenezaji wa magoli
Na ni kweli imetengeneza nafasi nyingiWeka takwimu basi, timu haina foward wala kiungo mtengenezaji magoli.
1) mechi ya Yanga vs Simba, timu ya Yanga ndio timu iliyotengeneza nafasi nyingi za magoli kuliko Simba, je hao viungo waliazimwa kutoka timu nyingine?
2) unasema kuwa Yanga haina viungo watengenezaji, lakini mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne, ikiwa imefunga magoli matano huku ikitengeneza nafasi zaidi ya 15 za magoli
3) Yanga magoli matano wameyapataje kama hakuna wafungaji
Aahaaaaaa
Sawa boss.Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Huna uchambuzi wowote. Tafuta kazi nyingine, na ikikosekana kakimbize hata ringiBado nipo jamanii
Wanazijua changamoto nyingi kuliko weweWakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
Good thinkingHuna uchambuzi wowote. Tafuta kazi nyingine, na ikikosekana kakimbize hata ringi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2772][emoji2772][emoji2772]Ni kweli mkuu
Naunga mkono hoja
Shida pale simba ni Mo tajiri makeleleWakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
una akili kiasi....ukikazana utakuwa mcha-goat mzuriYanga ni timu iliyokamilika mno.
Japo nao kidogo wana changamoto mbili tu...
1. Kiungo mkabaji WA ulinzi No6
MBADALA WA BANGALA.
Aucho ni 8.
2. Wanahangaika sana kupata MBADALA WA Mayele.
Na ubahili uliwaponza KUMPATA Mahope.
Hapo vipi sasa Mr. Kolofive?Mlikaa kimya leo mmeokota dodo,Tujipe muda
sasa kama kuandika kwenyewe huwezi,utajuaje kuwa yanga haifanyi vizuri? he u angalia bakari nondo umemuandikaje?Wakati Simba ikijitafuta kutatua changamoto zake yanga inaamini bado iko salama na huenda wako na hali nzuri zaidi. Niukweli usiofichika katika jicho la wanakabumbu kuwa yanga wana shida kwenye maeneo kadhaa na kuifanya timu hiyo kuwa na changamoto kadhaa.
Yafuatayo ni maeneo yenye walakini kwa Yanga.
1.Safu ya ushambuliaji-Bado yanga inashida kupata mshambuliaji wa aina ya mayele au anaemfikia walau hata nusu. Safu hii ilibebwa sana na Mayele ambae alikua na idadi kubwa kuwazidi washambuliajinwenzake kama msonda na mzize. Ingizo ka Konkoni bado halijaleta mwanga sababu bado hajapewa nafasi ni bora akapewa nafasi ili kupima uwezo wake na kufanya maamuzi kabka dirisha la usajili halijafungwa. Ikitokea likapuuziwa yanga atapata shida mapaja dirisha dogo na timu itakua imeanguka kwenye nafasi yake ha hata kutoka katika mashindano muhimu ya CAF champ.
2.Mbadala wa Bakari ndondo na Aucho. binafsi naona Hawa ni wachezaji muhimu kwenye nafasi zao lakini hakuna mbadala wao hivyo timu itakua kwenye shida endapo itatokea wana tumikia adhabu au majeruhi.
Simba ameamnza kujitibu taratibuu lakini uzuri anajua shida yake na ameanza kuchukua hatua
Mlimda mlango
Beki wa Kati mbadala wa Inonga
Kiungo mkabaji
Nawasilisha maoni yangu Yanga iamke.
😃😃😃Nikiona mtu anatoa povu kisa boli huwa naona kama sjui n mtu gan ....
Whatever the performance the guys wl be paid ..but wat about your family??